Zaburi 73:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nilikuwa kama mjinga, sijui neno; Nilikuwa kama mnyama tu mbele zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako. Biblia Habari Njema - BHND nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako. Neno: Bibilia Takatifu nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. Neno: Maandiko Matakatifu nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. BIBLIA KISWAHILI Nilikuwa kama mjinga, sijui neno; Nilikuwa kama mnyama tu mbele zako. |
Msiwe kama farasi wala nyumbu, Wasiokuwa na akili. Kwa matandiko ya lijamu na hatamu Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia.
Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa; Mpumbavu na mjinga hupotea pamoja, Na kuwaachia wengine mali zao.
Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;
Nikasema moyoni mwangu, Ni kwa sababu ya wanadamu, ili Mungu awajaribu, nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama.
Ng'ombe amjua bwana wake, Na punda ajua kibanda cha bwana wake; Bali Israeli hajui, watu wangu hawafikiri.