Wapigaji wake wa mishale hunizingira kotekote, Hunipasua figo zangu, asinihurumie; Nyonga zangu amezimwaga juu ya nchi.
Zaburi 73:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni, Biblia Habari Njema - BHND Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni, Neno: Bibilia Takatifu Moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu, Neno: Maandiko Matakatifu Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu, BIBLIA KISWAHILI Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma, |
Wapigaji wake wa mishale hunizingira kotekote, Hunipasua figo zangu, asinihurumie; Nyonga zangu amezimwaga juu ya nchi.
Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.