Maana mkononi mwa BWANA mna kikombe, Na mvinyo yake inatoka povu; Kumejaa machanganyiko; Naye huyamimina. Na sira zake wasio haki wa dunia Watazifyonza na kuzinywa.
Zaburi 73:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Biblia Habari Njema - BHND Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele. BIBLIA KISWAHILI Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao. |
Maana mkononi mwa BWANA mna kikombe, Na mvinyo yake inatoka povu; Kumejaa machanganyiko; Naye huyamimina. Na sira zake wasio haki wa dunia Watazifyonza na kuzinywa.