Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Wewe, BWANA, Mungu wangu, Umejifanya mkuu sana; Umejivika heshima na utukufu.
Zaburi 71:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa. Biblia Habari Njema - BHND Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa. Neno: Bibilia Takatifu Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. Neno: Maandiko Matakatifu Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. BIBLIA KISWAHILI Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa. |
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Wewe, BWANA, Mungu wangu, Umejifanya mkuu sana; Umejivika heshima na utukufu.
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya.