Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Zaburi 70:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee BWANA, usikawie.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Lakini mimi bado ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee Mwenyezi Mungu, usikawie.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee bwana, usikawie.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee BWANA, usikawie.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Zaburi 70:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.

Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.

Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.

Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.

Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, Yeye ajaye atakuja, wala hatakawia.

Yeye ayashuhudiaye haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu.