Zaburi 70:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao. Biblia Habari Njema - BHND Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao. Neno: Bibilia Takatifu Wale wanaoniambia, “Aha! Aha!” na warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao. Neno: Maandiko Matakatifu Wale waniambiao, “Aha! Aha!” warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao. BIBLIA KISWAHILI Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe! |
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya.
Uwaambie hao wana wa Amoni, Lisikieni neno la Bwana MUNGU; Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu umesema, Aha! Juu ya patakatifu pangu, palipotiwa unajisi; na juu ya nchi ya Israeli, ilipoharibiwa; na juu ya nyumba ya Israeli, walipokwenda kifungoni;
Mwanadamu, Kwa sababu Tiro amesema juu ya Yerusalemu, Aha! Yeye amevunjika aliyekuwa lango la makabila ya watu; amenigeukia; nitajazwa kwa kuwa sasa ameharibika;
Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu adui amesema juu yenu, Aha! Na, Mahali pa juu pa zamani pamekuwa petu tupamiliki;
(Basi mtu huyu alinunua shamba kwa ijara ya udhalimu; akaanguka kwa kasi akapasuka matumbo yake yote yakatoka.