Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.
Zaburi 70:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee Mungu, uniokoe, Ee BWANA, unisaidie hima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. Biblia Habari Njema - BHND Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee Mwenyezi Mungu, njoo hima unisaidie. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee bwana, njoo hima unisaidie. BIBLIA KISWAHILI Ee Mungu, uniokoe, Ee BWANA, unisaidie hima. |
Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.