Zaburi 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Naam, Mungu akasirikiaye waovu kila siku. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mungu ni hakimu wa haki; kila siku hulaumu maovu. Biblia Habari Njema - BHND Mungu ni hakimu wa haki; kila siku hulaumu maovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mungu ni hakimu wa haki; kila siku hulaumu maovu. Neno: Bibilia Takatifu Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu anayeghadhibika kila siku. Neno: Maandiko Matakatifu Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku. BIBLIA KISWAHILI Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Naam, Mungu akasirikiaye waovu kila siku. |
BWANA atawaamua mataifa, BWANA, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Kulingana na unyofu nilio nao.
BWANA ni Mungu mwenye wivu, naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi, naye ni mwingi wa hasira; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake, huwawekea adui zake akiba ya hasira.
Ni nani awezaye kusimama mbele za ghadhabu yake, naye ni nani awezaye kukaa katika ukali wa hasira yake? Hasira yake kali humwagwa kama moto, nayo majabali yapasuliwa na yeye.