Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku, Umenichunguza usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,
Zaburi 69:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee Mungu, unajua upumbavu wangu, Wala hukufichwa dhambi yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mungu, waujua upumbavu wangu; makosa yangu hayakufichika kwako. Biblia Habari Njema - BHND Ee Mungu, waujua upumbavu wangu; makosa yangu hayakufichika kwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mungu, waujua upumbavu wangu; makosa yangu hayakufichika kwako. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, wala hatia yangu haikufichika kwako. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, wala hatia yangu haikufichika kwako. BIBLIA KISWAHILI Ee Mungu, unajua upumbavu wangu, Wala hukufichwa dhambi yangu. |
Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku, Umenichunguza usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,
Maana macho yangu yaziangalia njia zao zote, hawakufichwa uso wangu usiwaone, wala haukusitirika uovu wao macho yangu yasiuone.