Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Zaburi 69:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mbingu na nchi zimsifu, Bahari na vyote viendavyo ndani yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi mbingu na dunia msifuni Mungu; bahari na vyote vilivyomo, msifuni. Biblia Habari Njema - BHND Enyi mbingu na dunia msifuni Mungu; bahari na vyote vilivyomo, msifuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi mbingu na dunia msifuni Mungu; bahari na vyote vilivyomo, msifuni. Neno: Bibilia Takatifu Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake, Neno: Maandiko Matakatifu Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake, BIBLIA KISWAHILI Mbingu na nchi zimsifu, Bahari na vyote viendavyo ndani yake. |
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.
Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya shambani itapiga makofi.