Zaburi 69:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Walioonewa watakapoona watafurahi; Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanyonge wataona hayo na kufurahi; wanaomheshimu Mungu watapata moyo. Biblia Habari Njema - BHND Wanyonge wataona hayo na kufurahi; wanaomheshimu Mungu watapata moyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanyonge wataona hayo na kufurahi; wanaomheshimu Mungu watapata moyo. Neno: Bibilia Takatifu Maskini wataona na kufurahi: ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi! Neno: Maandiko Matakatifu Maskini wataona na kufurahi: ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi! BIBLIA KISWAHILI Walioonewa watakapoona watafurahi; Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe. |
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu, Humwinamia wote washukao mavumbini; Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake,
Basi ninyi hivi sasa mna huzuni; lakini mimi nitawaona tena; na mioyo yenu itafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleaye.
Naye akiisha kusema hayo, akawaonesha mikono yake na ubavu wake. Basi wale wanafunzi wakafurahi walipomwona Bwana.