Ulizeni sasa, mkaone kwamba mwanamume aona uchungu wa uzazi; mbona, basi, ninaona kila mtu anaweka mikono yake viunoni, kama mwanamke aliye na uchungu, na nyuso zote zimegeuka rangi?
Zaburi 69:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Macho yao yatiwe giza wasione, Na viuno vyao uvitetemeshe daima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Macho yao yatiwe giza wasiweze kuona, uitetemeshe daima migongo yao. Biblia Habari Njema - BHND Macho yao yatiwe giza wasiweze kuona, uitetemeshe daima migongo yao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Macho yao yatiwe giza wasiweze kuona, uitetemeshe daima migongo yao. Neno: Bibilia Takatifu Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, nayo migongo yao iinamishwe daima. Neno: Maandiko Matakatifu Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, nayo migongo yao iinamishwe daima. BIBLIA KISWAHILI Macho yao yatiwe giza wasione, Na viuno vyao uvitetemeshe daima. |
Ulizeni sasa, mkaone kwamba mwanamume aona uchungu wa uzazi; mbona, basi, ninaona kila mtu anaweka mikono yake viunoni, kama mwanamke aliye na uchungu, na nyuso zote zimegeuka rangi?
Ndipo uso wa mfalme ukambadilika; fikira zake zikamfadhaisha; viungo vya viuno vyake vikalegea; magoti yake yakagongana.
Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili.
ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba huondolewa katika Kristo;