Zaburi 69:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Meza yao mbele yao na iwe mtego; Naam, sikukuu zao sadaka ziwanase. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase. Biblia Habari Njema - BHND Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase. Neno: Bibilia Takatifu Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi. Neno: Maandiko Matakatifu Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi. BIBLIA KISWAHILI Meza yao mbele yao na iwe mtego; Naam, sikukuu zao sadaka ziwanase. |
Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema BWANA wa majeshi, basi nitawaleteeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.
Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, kama vile uchungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa.
Tena, Jiwe la kujikwaza mguu, na mwamba wa kuangusha. Kwa maana hujikwaza kwa neno lile, wasiliamini, nao waliwekwa kusudi wapate hayo.