Zaburi 69:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala Shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo. Biblia Habari Njema - BHND Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo. Neno: Bibilia Takatifu Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu. BIBLIA KISWAHILI Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala Shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu. |
Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.
ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.
yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.