Zaburi 67:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote wakutukuze, ee Mungu; watu wote na wakusifu! Biblia Habari Njema - BHND Watu wote wakutukuze, ee Mungu; watu wote na wakusifu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote wakutukuze, ee Mungu; watu wote na wakusifu! Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu. BIBLIA KISWAHILI Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru. |
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu Katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa watakushukuru Milele na milele.
naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuyainua makabila ya Yakobo, na kuwarejesha watu wa Israeli waliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.
Kwa sababu hiyo atawatoa, hata wakati wa kuzaa kwake aliye na uchungu; ndipo hayo mabaki ya nduguze watawarudia wana wa Israeli.