Zaburi 66:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu, Itangazeni sauti ya sifa zake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni Mungu wetu, enyi mataifa yote; tangazeni sifa zake zipate kusikika. Biblia Habari Njema - BHND Msifuni Mungu wetu, enyi mataifa yote; tangazeni sifa zake zipate kusikika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni Mungu wetu, enyi mataifa yote; tangazeni sifa zake zipate kusikika. Neno: Bibilia Takatifu Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu, sauti ya sifa yake isikike, Neno: Maandiko Matakatifu Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu, sauti ya sifa yake isikike, BIBLIA KISWAHILI Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu, Itangazeni sauti ya sifa zake; |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.
Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake; Kwa maana atatwaa kisasi kwa damu ya watumwa wake, Atawatoza kisasi adui zake, Tena atafanya kafara kwa nchi yake, na watu wake.
Baada ya hayo nikasikia sauti kama sauti ya mikutano mikubwa, sauti kubwa mbinguni, ikisema, Haleluya; Wokovu na utukufu na nguvu zina Bwana Mungu wetu;