BWANA akamwambia, Nimeyasikia maombi yako na dua zako, ulizotoa mbele zangu. Nimeitakasa nyumba hii uliyoijenga ili niweke jina langu humo milele; tena macho yangu na moyo wangu utakuwapo hapo siku zote;
Zaburi 66:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini kweli Mungu amenisikiliza; naam, amesikiliza maneno ya sala yangu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini kweli Mungu amenisikiliza; naam, amesikiliza maneno ya sala yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini kweli Mungu amenisikiliza; naam, amesikiliza maneno ya sala yangu. Neno: Bibilia Takatifu lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi. Neno: Maandiko Matakatifu lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi. BIBLIA KISWAHILI Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu. |
BWANA akamwambia, Nimeyasikia maombi yako na dua zako, ulizotoa mbele zangu. Nimeitakasa nyumba hii uliyoijenga ili niweke jina langu humo milele; tena macho yangu na moyo wangu utakuwapo hapo siku zote;
Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;