Zaburi 66:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umetuacha tunaswe wavuni; umetubebesha taabu nzito. Biblia Habari Njema - BHND Umetuacha tunaswe wavuni; umetubebesha taabu nzito. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umetuacha tunaswe wavuni; umetubebesha taabu nzito. Neno: Bibilia Takatifu Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu. Neno: Maandiko Matakatifu Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu. BIBLIA KISWAHILI Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea. |
Toka juu amepeleka moto mifupani mwangu, Nao umeishinda; Ametandika wavu aninase miguu, Amenirudisha nyuma; Amenifanya kuwa mtu wa pekee, Na mgonjwa mchana kutwa.
Tena wavu wangu nitautandika juu yake, naye atanaswa kwa mtego wangu; nami nitampeleka Babeli, mpaka nchi ya Wakaldayo; lakini hataiona, ingawa atakufa huko.
Watakapokwenda nitatandika wavu wangu juu yao; nitawashusha kama ndege wa angani; nitawarudi, kama vile mkutano wao ulivyosikia.
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Ee BWANA, ubariki mali zake, Utakabali kazi ya mikono yake; Uwapige viuno vyao waondokao juu yake, Na wenye kumchukia, wasiinuke tena.