Ndivyo Israeli wote walivyolipandisha sanduku la Agano la BWANA kwa shangwe na kwa sauti ya tarumbeta, na kwa baragumu, na kwa matoazi, wakipiga sauti kuu kwa vinanda na vinubi.
Zaburi 66:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! Biblia Habari Njema - BHND Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! Neno: Bibilia Takatifu Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! Neno: Maandiko Matakatifu Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! BIBLIA KISWAHILI Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, |
Ndivyo Israeli wote walivyolipandisha sanduku la Agano la BWANA kwa shangwe na kwa sauti ya tarumbeta, na kwa baragumu, na kwa matoazi, wakipiga sauti kuu kwa vinanda na vinubi.
Toka pande za mwisho wa dunia tumesikia nyimbo, Atukuzwe mwenye haki. Ndipo niliposema, Kukonda kwangu! Kukonda kwangu! Ole wangu! Watenda hila wametenda hila, naam, watendao hila wametenda hila sana.