Zaburi 63:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Biblia Habari Njema - BHND Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Neno: Bibilia Takatifu Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu. BIBLIA KISWAHILI Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu. |
Milima ilikuona, ikaogopa; Gharika ya maji ikapita; Vilindi vikatoa sauti yake, Vikainua juu mikono yake.