Tukamatie mbweha, Wale mbweha wadogo, Waiharibuo mizabibu, Maana mizabibu yetu yachanua.
Zaburi 63:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Watatolewa wafe kwa nguvu za upanga, Watakuwa riziki za mbwamwitu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha. Biblia Habari Njema - BHND Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha. Neno: Bibilia Takatifu Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha. Neno: Maandiko Matakatifu Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha. BIBLIA KISWAHILI Watatolewa wafe kwa nguvu za upanga, Watakuwa riziki za mbwamwitu. |
Tukamatie mbweha, Wale mbweha wadogo, Waiharibuo mizabibu, Maana mizabibu yetu yachanua.
Kwa sababu hiyo, uwatoe watoto wao waone njaa, uwatoe nguvu za upanga ziwapate; wake zao wafiwe na watoto wao, na kufiwa na waume zao; wanaume wao wauawe, na vijana wao wapigwe kwa upanga vitani.
Kwa kuwa umekuwa na uadui usiokoma, nawe umewatoa wana wa Israeli wapigwe kwa nguvu za upanga, wakati wa msiba wao, wakati wa mwisho wa uovu.
Utaanguka juu ya milima ya Israeli, wewe, na vikosi vyako vyote, na watu wa kabila nyingi walio pamoja nawe; nami nitakutoa na kuwapa ndege wa kila namna walao nyama, na wanyama wa pori, uliwe na wao.
Daudi akasema, Aishivyo BWANA, BWANA atampiga; au siku yake ya kufa itampata; atashuka kwenda vitani na kupotea.