Zaburi 61:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu. Biblia Habari Njema - BHND Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu. BIBLIA KISWAHILI Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu. |
Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.
Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Uliniokoa nilipokuwa katika shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.
Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu kutoka kwa hofu ya adui.
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.