Zaburi 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu? Biblia Habari Njema - BHND Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu? Neno: Bibilia Takatifu Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa Kuzimu? Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu? BIBLIA KISWAHILI Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru? |
Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?
Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.
Imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenituma maadamu ni mchana, usiku waja asipoweza mtu kufanya kazi.