Zaburi 59:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na Wewe, BWANA, utawacheka, Utawadhihaki mataifa yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua. Neno: Bibilia Takatifu Lakini wewe, Mwenyezi Mungu, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wewe, bwana, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote. BIBLIA KISWAHILI Na Wewe, BWANA, utawacheka, Utawadhihaki mataifa yote. |
Na Wewe, BWANA, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, uinuke. Uwapatilize mataifa yote; Usimrehemu hata mmoja wa wale wapangao maovu kwa hila.
Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.