Zaburi 59:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uniponye nao wafanyao maovu, Uniokoe na watu wa damu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uniokoe na hao wanaotenda maovu; unisalimishe kutoka kwa hao wauaji! Biblia Habari Njema - BHND Uniokoe na hao wanaotenda maovu; unisalimishe kutoka kwa hao wauaji! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uniokoe na hao wanaotenda maovu; unisalimishe kutoka kwa hao wauaji! Neno: Bibilia Takatifu Uniponye na watu watendao maovu, uniokoe kutokana na wanaomwaga damu. Neno: Maandiko Matakatifu Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu. BIBLIA KISWAHILI Uniponye nao wafanyao maovu, Uniokoe na watu wa damu. |
Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.
Nawe, Ee Mungu, utawateremsha, Wafikie shimo la uharibifu; Watu wa damu na hila hawataishi nusu ya siku zao, Bali mimi nitakutumaini Wewe.
Ni nani atakayesimama Kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nani atakayenisaidia Juu yao wafanyao maovu?