Zaburi 58:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema watoweke kama konokono ayeyukavyo, kama mimba iliyoharibika isiyoona kamwe jua! Biblia Habari Njema - BHND watoweke kama konokono ayeyukavyo, kama mimba iliyoharibika isiyoona kamwe jua! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza watoweke kama konokono ayeyukavyo, kama mimba iliyoharibika isiyoona kamwe jua! Neno: Bibilia Takatifu Na wawe kama konokono anayeyeyuka akitembea, kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu. Neno: Maandiko Matakatifu Kama konokono ayeyukavyo akitembea, kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu, wasilione jua. BIBLIA KISWAHILI Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua, |
Au, mbona kuzikwa kama mimba iliyoharibika, nisingekuwako; Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa.
Mtu akizaa watoto mia moja, akaishi miaka mingi, hata siku za maisha yake zikiwa nyingi, lakini nafsi yake haikushiba mema; tena ikiwa, zaidi ya hayo, amekosa maziko; mimi nasema, Heri mimba iliyoharibika kuliko huyo;