Mungu wa Israeli alisema, Mwamba wa Israeli aliniambia, Atawalaye wanadamu kwa haki, Akitawala katika kicho cha Mungu,
Zaburi 58:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? Biblia Habari Njema - BHND Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? Neno: Bibilia Takatifu Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? Neno: Maandiko Matakatifu Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? BIBLIA KISWAHILI Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili? |
Mungu wa Israeli alisema, Mwamba wa Israeli aliniambia, Atawalaye wanadamu kwa haki, Akitawala katika kicho cha Mungu,
Basi wazee wote wa Israeli wakamwendea mfalme huko Hebroni, naye mfalme Daudi akapatana nao huko Hebroni mbele za BWANA; wakamtia Daudi mafuta awe mfalme juu ya Israeli.
Unirehemu, Ee Mungu, unirehemu mimi, Maana nafsi yangu imekukimbilia Wewe. Nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako, Hadi misiba hii itakapopita.
Kisha BWANA akamwambia Musa, Nikusanyie watu sabini, miongoni mwa wazee wa Israeli, ambao wewe unawajua kuwa ndio wazee wa watu hawa, na viongozi juu yao; ukawalete katika hema ya kukutania, wasimame huko pamoja nawe.
Wakati ule wakuu wa makuhani, na wazee wa watu, wakakusanyika katika behewa ya Kuhani Mkuu, jina lake Kayafa;
Na ilipokuwa asubuhi, wakuu wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri juu ya Yesu, wapate kumwua;
Nao waliposikia wakaenda alfajiri hekaluni, wakaanza kufundisha. Akaja Kuhani Mkuu nao waliokuwa pamoja naye, wakawakutanisha watu wa baraza, na wazee wote wa wana wa Israeli, wakatuma watu gerezani ili wawalete.