Nami nitamwita Mungu, Na BWANA ataniokoa;
Lakini mimi namlilia Mungu, naye Mwenyezi-Mungu ataniokoa.
Lakini ninamwita Mungu, naye Mwenyezi Mungu huniokoa.
Lakini ninamwita Mungu, naye bwana huniokoa.
Badala ya upendo wangu wao hunishitaki, Ijapokuwa niliwaombea.
Uniite siku ya mateso; Nitakuokoa, nawe utanitukuza.
Nami kumkaribia Mungu ni kwema kwangu; Nimefanya kimbilio kwa Bwana MUNGU, Niyahubiri matendo yako yote.
Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza;
Basi wao, na wote waliokuwa nao, wakashukia shimoni wakiwa hai; nayo nchi ikawafunika wakaangamia kutoka mle mkutanoni.