Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.
Zaburi 54:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee Mungu, uyasikie maombi yangu, Uyasikilize maneno ya kinywa changu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uisikie, ee Mungu, sala yangu; uyategee sikio maneno ya kinywa changu. Biblia Habari Njema - BHND Uisikie, ee Mungu, sala yangu; uyategee sikio maneno ya kinywa changu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uisikie, ee Mungu, sala yangu; uyategee sikio maneno ya kinywa changu. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, sikia maombi yangu, usikilize maneno ya kinywa changu. BIBLIA KISWAHILI Ee Mungu, uyasikie maombi yangu, Uyasikilize maneno ya kinywa changu. |
Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.
Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.
Ndipo wale Wazifi wakakwea kwa Sauli huko Gibea, wakasema, Je! Yule Daudi hakujificha kwetu ngomeni mwa Horeshi, kilimani pa Hakila upande wa kusini wa Yeshimoni?
Basi hao Wazifi wakamwendea Sauli huko Gibea, wakasema, Je! Yule Daudi hakujificha katika kilima cha Hakila, kuelekea Yeshimoni?