Utoe pamoja nawe kila kilicho hai kilichomo pamoja nawe, chenye mwili, ndege, na mnyama, na kila kitambaacho, chenye kutambaa juu ya nchi; wajae katika nchi, wawe na uzazi, wakaongezeke katika nchi.
Zaburi 50:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, na vyote vilivyomo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu. Biblia Habari Njema - BHND Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu. Neno: Bibilia Takatifu Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, na vyote vilivyomo. Neno: Maandiko Matakatifu Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. BIBLIA KISWAHILI Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, na vyote vilivyomo. |
Utoe pamoja nawe kila kilicho hai kilichomo pamoja nawe, chenye mwili, ndege, na mnyama, na kila kitambaacho, chenye kutambaa juu ya nchi; wajae katika nchi, wawe na uzazi, wakaongezeke katika nchi.
Ni nani aliyetangulia kunipa hata nimlipe? Kila kilicho chini ya mbingu nzima ni changu.
Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.
Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana dunia yote pia ni mali yangu,
Tazama, mbingu ni mali ya BWANA, Mungu wako, na mbingu za mbingu, na nchi, na vitu vyote vilivyomo.