Lakini uyaelekee maombi ya mtumwa wako, na dua yake, Ee BWANA, Mungu wangu, uisikilize sauti na maombi ya mtumwa wako, aombayo mbele zako leo.
Zaburi 5:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Biblia Habari Njema - BHND Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Neno: Bibilia Takatifu Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. Neno: Maandiko Matakatifu Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. BIBLIA KISWAHILI Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye. |
Lakini uyaelekee maombi ya mtumwa wako, na dua yake, Ee BWANA, Mungu wangu, uisikilize sauti na maombi ya mtumwa wako, aombayo mbele zako leo.
Hata Shomoro ameona nyumba, Na mbayuwayu amejipatia kiota, Alipoweka makinda yake, Kwenye madhabahu zako, Ee BWANA wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu.
Kwa maana BWANA ndiye mwamuzi wetu; BWANA ndiye mfanya sheria wetu; BWANA ndiye mfalme wetu; ndiye atakayetuokoa.