Dani atakuwa nyoka barabarani, Bafe katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Na apandaye akaanguka chali.
Zaburi 49:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa nini niogope wakati wa shida, Ubaya ukinizunguka miguuni pangu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ya nini niogope siku mbaya, wakati nizungukwapo na uovu wa adui? Biblia Habari Njema - BHND Ya nini niogope siku mbaya, wakati nizungukwapo na uovu wa adui? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ya nini niogope siku mbaya, wakati nizungukwapo na uovu wa adui? Neno: Bibilia Takatifu Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, Neno: Maandiko Matakatifu Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, BIBLIA KISWAHILI Kwa nini niogope wakati wa shida, Ubaya ukinizunguka miguuni pangu? |
Dani atakuwa nyoka barabarani, Bafe katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Na apandaye akaanguka chali.
Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenidunga mikono na miguu.
Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Wala hawafikiri mioyoni mwao ya kwamba naukumbuka uovu wao wote; sasa matendo yao wenyewe yamewazunguka pande zote; yako mbele za uso wangu.
Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.
Akatunga mithali yake, akasema, Balaki amenileta kutoka Aramu, Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki, Njoo! Unilaanie Yakobo, Njoo! Unishutumie Israeli.
akaniambia, Usiogope, Paulo, huna budi kusimama mbele ya Kaisari; tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe.
wala hamwaogopi adui zenu, katika neno lolote; kwao hao ni ishara thabiti ya kuangamizwa, bali kwenu ninyi ni ishara ya wokovu, huo utokao kwa Mungu.
Basi sasa, isianguke damu yangu chini mbali na uso wa BWANA; maana mfalme wa Israeli ametoka ili kutafuta uhai wangu, kama vile mtu awindavyo kware mlimani.