Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Zaburi 49:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini kwa pamoja. Biblia Habari Njema - BHND sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini kwa pamoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini kwa pamoja. Neno: Bibilia Takatifu Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja: Neno: Maandiko Matakatifu Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja: BIBLIA KISWAHILI Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja. |
Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Hakika binadamu ni ubatili, Na wenye cheo ni uongo, Katika mizani huinuka; Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.
Karibuni, enyi mataifa, mpate kusikia; sikilizeni, enyi makabila ya watu; dunia na isikie, na chote kiijazacho, ulimwengu na vitu vyote viutokavyo.
Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu.