Zaburi 49:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema atajiunga na wazee waliomtangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwanga. Biblia Habari Njema - BHND atajiunga na wazee waliomtangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwanga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza atajiunga na wazee waliomtangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwanga. Neno: Bibilia Takatifu atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. Neno: Maandiko Matakatifu atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. BIBLIA KISWAHILI Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele. |
Baasha akalala na babaze, akazikwa katika Tirza; naye Ela mwanawe akatawala mahali pake.
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili niende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.
Mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni mikono na miguu, mchukueni mkamtupe katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Lakini Mungu akamwambia, Mpumbavu wewe, usiku huu wa leo wanataka roho yako! Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani?
ni mawimbi ya bahari yasiyozuilika, yakitoa aibu yao wenyewe kama povu; ni nyota zipoteazo, ambao weusi wa giza ndio akiba yao waliowekewa milele.