Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake,
Zaburi 48:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mara Walipouona, wakashtuka; Wakafadhaika na kukimbia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini walipouona mji wa Siyoni, wakashangaa; wakashikwa na hofu, wakatimua mbio. Biblia Habari Njema - BHND Lakini walipouona mji wa Siyoni, wakashangaa; wakashikwa na hofu, wakatimua mbio. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini walipouona mji wa Siyoni, wakashangaa; wakashikwa na hofu, wakatimua mbio. Neno: Bibilia Takatifu walimwona, wakashangaa, wakakimbia kwa hofu. Neno: Maandiko Matakatifu walimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu. BIBLIA KISWAHILI Mara Walipouona, wakashtuka; Wakafadhaika na kukimbia. |
Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake,
Akayakwamisha magurudumu ya magari yao, hata yakaenda kwa shida; na Wamisri wakasema, Na tuwakimbieni Waisraeli; kwa kuwa BWANA anawapigania.
Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.