Zaburi 48:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama. Biblia Habari Njema - BHND Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama. Neno: Bibilia Takatifu Mungu yuko katika ngome zake; amejionesha mwenyewe kuwa ngome yake. Neno: Maandiko Matakatifu Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. BIBLIA KISWAHILI Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome. |
Naye BWANA alipoona ya kwamba wamejinyenyekeza, neno la BWANA likamjia Shemaya, kusema, Wamejinyenyekeza; sitawaharibu; lakini nitawapa wokovu punde, wala ghadhabu yangu haitamwagika juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki.
Mpenzi wangu, u mzuri kama Tirza, Mwenye kupendeza kama Yerusalemu, Wa kutisha kama jeshi lenye bendera.
Hao watu wote wapitao Hukupigia makofi; Humzomea binti Yerusalemu, Na kutikisa vichwa vyao; Je! Mji huu ndio ulioitwa, Ukamilifu wa uzuri, Furaha ya dunia yote?