Zaburi 41:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake lipotee? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Madui zangu husema vibaya juu yangu: “Atakufa lini na jina lake litoweke!” Biblia Habari Njema - BHND Madui zangu husema vibaya juu yangu: “Atakufa lini na jina lake litoweke!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Madui zangu husema vibaya juu yangu: “Atakufa lini na jina lake litoweke!” Neno: Bibilia Takatifu Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” Neno: Maandiko Matakatifu Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” BIBLIA KISWAHILI Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake lipotee? |
Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?
Adui zangu wananilaumu mchana kutwa; Wanaonichukia kana kwamba wana wazimu Wakitaja jina langu katika laana zao.
Nao wanaoutafuta uhai wangu hutega mitego; Nao wanaotaka kunidhuru hunena mabaya; Na kufikiri hila mchana kutwa.
Unielekee na kunifadhili mimi; Mpe mtumishi wako nguvu zako, Umwokoe mwana wa mjakazi wako.