Zaburi 40:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nilimngoja BWANA kwa subira, Akaniinamia na kusikia kilio changu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu. Biblia Habari Njema - BHND Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu. Neno: Bibilia Takatifu Nilimngoja Mwenyezi Mungu kwa saburi, naye akanijia na kusikia kilio changu. Neno: Maandiko Matakatifu Nilimngoja bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu. BIBLIA KISWAHILI Nilimngoja BWANA kwa subira, Akaniinamia na kusikia kilio changu. |
Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.
Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na mji ule ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei maombi yetu kwa sababu ya haki yetu, lakini kwa sababu ya rehema zako nyingi.