Zaburi 39:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nilikuwa sisemi, nilinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali, Biblia Habari Njema - BHND Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali, Neno: Bibilia Takatifu Lakini niliponyamaza na kutulia, hata pasipo kusema lolote jema, uchungu wangu uliongezeka. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini niliponyamaza kimya na kutulia, hata pasipo kusema lolote jema, uchungu wangu uliongezeka. BIBLIA KISWAHILI Nilikuwa sisemi, nilinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi. |
Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.