Zaburi 38:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Biblia Habari Njema - BHND Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Neno: Bibilia Takatifu Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. BIBLIA KISWAHILI Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako. |
Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakibubujikia kitanda changu; Nililowesha godoro langu kwa machozi yangu.
Nathanaeli akamwambia, Umepataje kunitambua? Yesu akajibu, akamwambia, Kabla Filipo hajakuita, ulipokuwapo chini ya mtini nilikuona.