Nikamwambia mfalme, Mfalme na aishi milele; kwani uso wangu usiwe na huzuni, iwapo mji, ulio mahali pa makaburi ya baba zangu, unakaa ukiwa, na malango yake yameteketezwa kwa moto?
Zaburi 38:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana viuno vyangu vimejaa homa, Wala hamna uzima katika mwili wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; mwilini mwangu hamna nafuu yoyote. Biblia Habari Njema - BHND Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; mwilini mwangu hamna nafuu yoyote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; mwilini mwangu hamna nafuu yoyote. Neno: Bibilia Takatifu Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu. Neno: Maandiko Matakatifu Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu. BIBLIA KISWAHILI Maana viuno vyangu vimejaa homa, Wala hamna uzima katika mwili wangu. |
Nikamwambia mfalme, Mfalme na aishi milele; kwani uso wangu usiwe na huzuni, iwapo mji, ulio mahali pa makaburi ya baba zangu, unakaa ukiwa, na malango yake yameteketezwa kwa moto?
Kwa ugonjwa wangu kuwa na nguvu nyingi Mavazi yangu yameharibika; Hunikaza kama shingo ya kanzu yangu.
Mwili wangu unavikwa mabuu na madongoa ya udongo; Ngozi yangu hufumba, kisha ikatumbuka tena.
Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na wadudu, akatokwa na roho.