Zaburi 37:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi. Biblia Habari Njema - BHND Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi. Neno: Bibilia Takatifu kwa maana watanyauka upesi kama majani, watakufa upesi kama mimea ya kijani. Neno: Maandiko Matakatifu kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara. BIBLIA KISWAHILI Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka. |
Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;
Maana, Mwili wote ni kama majani, Na fahari yake yote ni kama ua la majani. Majani hukauka na ua lake huanguka;