Zaburi 37:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi. Neno: Bibilia Takatifu Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali ya waovu wengi; Neno: Maandiko Matakatifu Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; BIBLIA KISWAHILI Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi. |
Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, BWANA ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.
Kwa sababu Mungu humpa yeye aliyemridhia hekima na maarifa na furaha; bali mkosaji humpa taabu, ili kukusanya na kututa, apate kumpa huyo ambaye Mungu amridhia. Hayo nayo ni ubatili na kufukuza upepo.
Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kufukuza upepo.