Zaburi 37:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya. Biblia Habari Njema - BHND Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya. Neno: Bibilia Takatifu Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya, Neno: Maandiko Matakatifu Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya, BIBLIA KISWAHILI Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili. |
Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.
lakini haitakuwa heri kwa mwovu, wala hatazidisha siku zake, zilizo kama kivuli; kwa sababu hana kicho mbele za Mungu.
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.