akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
Zaburi 34:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie na kufurahi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi. Biblia Habari Njema - BHND Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi. Neno: Bibilia Takatifu Nafsi yangu itajisifu katika Mwenyezi Mungu, walioonewa watasikia na wafurahi. Neno: Maandiko Matakatifu Nafsi yangu itajisifu katika bwana, walioonewa watasikia na wafurahi. BIBLIA KISWAHILI Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie na kufurahi. |
akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,