Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa.
Zaburi 34:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao; Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao; Neno: Bibilia Takatifu Macho ya Mwenyezi Mungu huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. Neno: Maandiko Matakatifu Macho ya bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. BIBLIA KISWAHILI Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao. |
Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa.
Yeye hawaondolei macho yake wenye haki; Lakini pamoja na wafalme huwaweka Katika viti vya enzi milele, nao hutukuzwa.
Haya ndiyo mtakayoyatenda; kila mtu na aseme ukweli na jirani yake; katika malango yenu toeni hukumu za kweli na ziletazo amani;
BWANA wa majeshi asema hivi, Saumu ya mwezi wa nne, na saumu ya mwezi wa tano, na saumu ya mwezi wa saba, na saumu ya mwezi wa kumi, zitakuwa furaha na shangwe, na sikukuu za kuchangamkia, kwa nyumba ya Yuda; basi zipendeni kweli na amani.
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana uko juu ya watenda mabaya.