Zaburi 33:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nchi yote na imwogope BWANA, Wote wakaao duniani na wamche. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche! Biblia Habari Njema - BHND Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche! Neno: Bibilia Takatifu Dunia yote na imwogope Mwenyezi Mungu, watu wote wa dunia wamche. Neno: Maandiko Matakatifu Dunia yote na imwogope bwana, watu wote wa dunia wamche. BIBLIA KISWAHILI Nchi yote na imwogope BWANA, Wote wakaao duniani na wamche. |
Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.
Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.