Zaburi 33:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana mioyo yetu itamfurahia, Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naam twafurahi kwa sababu yake; tuna matumaini katika jina lake takatifu. Biblia Habari Njema - BHND Naam twafurahi kwa sababu yake; tuna matumaini katika jina lake takatifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naam twafurahi kwa sababu yake; tuna matumaini katika jina lake takatifu. Neno: Bibilia Takatifu Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu. Neno: Maandiko Matakatifu Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu. BIBLIA KISWAHILI Maana mioyo yetu itamfurahia, Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu. |
Nanyi semeni, Ee Mungu wa wokovu wetu, utuokoe, Utukusanye kwa kututoa katika mataifa, Tulishukuru jina lako takatifu, Tuzifanyie shangwe sifa zako.
BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu. Moyo wangu umemtumaini, Nami nimesaidiwa; Basi, moyo wangu unashangilia, Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.
Na watu wa Efraimu watakuwa kama shujaa, na moyo wao utafurahi kana kwamba ni kwa divai; naam, watoto wao wataona mambo haya, na kufurahi; mioyo yao itamfurahia BWANA.
Basi ninyi hivi sasa mna huzuni; lakini mimi nitawaona tena; na mioyo yenu itafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleaye.
Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.