Zaburi 33:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ili kuwaponya nafsi zao kutoka kwa mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa. Biblia Habari Njema - BHND Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa. Neno: Bibilia Takatifu ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa. Neno: Maandiko Matakatifu ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa. BIBLIA KISWAHILI Ili kuwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa. |
Wanasimba hutindikiwa, na kuona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawapungukiwi kitu chochote kilicho chema.
BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.
Huyu ndiye atakayekaa juu; majabali ni ngome yake; atapewa chakula chake; maji yake hayatakoma.
Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Ndipo Petro alipopata fahamu akasema, Sasa nimejua hakika kuwa Bwana amemtuma malaika wake na kunitoa katika mkono wa Herode na katika kutazamia kote kwa taifa la Wayahudi.