Watu wa Israeli wakapigwa huko mbele ya watumishi wa Daudi, kukawa na maangamizo makuu huko siku ile, ya watu elfu ishirini.
Zaburi 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Sitayaogopa maelfu na maelfu ya watu, Waliojipanga Juu yangu pande zote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande. Biblia Habari Njema - BHND Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande. Neno: Bibilia Takatifu Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande. Neno: Maandiko Matakatifu Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande. BIBLIA KISWAHILI Sitayaogopa maelfu na maelfu ya watu, Waliojipanga Juu yangu pande zote. |
Watu wa Israeli wakapigwa huko mbele ya watumishi wa Daudi, kukawa na maangamizo makuu huko siku ile, ya watu elfu ishirini.
Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake,
Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.